BOT Watoa Onyo Kali kwa Wanaodhihaki Pesa za Tanzania - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Sept 2018

BOT Watoa Onyo Kali kwa Wanaodhihaki Pesa za Tanzania

Benki kuu ya Tanzania imewapa onyo kali watanzania wanaodhihaki fedha za Tanzania na kuwataka kuziheshimu kwa kuwa ni moja ya Alama ya Taifa na kuwaambia kuwa kudhihaki na kukejeri noti na sarafu ni kosa la jinai.