Irene Uwoya Athibitisha Kuachana na Dogo Janja " Si Mlisema Nitafuta Size Yangu" - MULO ENTERTAINER

Latest

18 Sept 2018

Irene Uwoya Athibitisha Kuachana na Dogo Janja " Si Mlisema Nitafuta Size Yangu"


Irene Uwoya amemjibu Shabiki kupitia mtandao wa Instagram kuhusu kama bado yupo mapenzini na Dogo Janja

Ameandika haya 


Dogo Janja na Irene Uwoya wamefunga ndoa ya kiislam lakini kuna tetesi kuwa hawapo pamoja tena, Tetesi zimezidi kusambaa baada ya juzi Dogo janja kuonekana akiwa Hospitalini amelazwa bila mkewe....