Ray C Avunja Ukimya Aamua Kumwanika Mpenzi wake wa Kizungu - MULO ENTERTAINER

Latest

18 Sept 2018

Ray C Avunja Ukimya Aamua Kumwanika Mpenzi wake wa Kizungu

Ray C Avunja Ukimya Aamua Kumwanika Mpenzi wake wa Kizungu
Msanii  mkongwe wa Bongo Fleva Ray C  ameamua kumuanika mpenzi wake kwa mashabiki wake mwenye asili ya kizungu kupitia ukurasa wake wa instagram.

Ray C aliwahi kuwa mapenzini na msanii Lord Eyes miaka kadhaa iliyopita lakini baada ya kuachana hakuwahi kuweka wazi wala kuzungumzia chochote kuhusiana na mahusiano yake mapya .

Mashabiki wengi wameonekana kufurahishwa na kitendo cha Ray C kumwanika mpenzi wake wa sasa  huku wengine wakionekana kumtaka achague wa hapahapa nchini.