Mwanadada mjasiriamali kutoka Kenya, Vera Sidika amefunguka kisa cha kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Otile Brown, kwa kudai kuwa alikuwa anamuomba sana hela.
Vera amesema kuwa siku mbili baada ya kuruduana na Otile, alianza kumuomba kiasi cha dola $500,000 akitaka kununua gari aina ya Mercedes Benz jambo ambalo Vera alianza kumini kuwa jamaa yupo kimaslahi kwake.
Mrembo huyo maarufu zaidi mitandaoni nchini Kenya, aliweka screenshots za meseji ambazo Otile alikuwa anamtumia akiomba aazimwe fedha.
Vera anasema kuna kipindi ilimlazimu hadi amlipie kodi ya nyumba, jambo ambalo amesema haijawahi kutokea kwa mwanaume yoyote aliyewahi kuishi naye.
Vera Sidika walirudiana wiki chache zilizopita na kuachana tena, hii ni baada ya mara ya kwanza kuzinguana na kila mmoja kuchukua time zake.
‘ As much as we love so deep. Women do find it a turn off when a man keeps asking for money. Regularly. From week 2 of dating. This time it happened 2 days after a break-up reconciliation and it ended up looking like the only reason he came back was for the money. I have been in this situation before & I refuse to be used financially or for fame. If such a person walks away coz u didn’t give them money …it’s more like good riddance to bad rubbish.