Breaking News : Angalia HAPA Matokeo ya KIDATO CHA NNE CSEE 2018 NA QT 2018 Yametangazwa - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Jan 2019

Breaking News : Angalia HAPA Matokeo ya KIDATO CHA NNE CSEE 2018 NA QT 2018 Yametangazwa

Related image


MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2018 NA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 YAMETANGAZWA.YAANGALIE HAPA CHINI KWA KUBONYEZA LINK







NJIA RAHISI YA KUONA MATOKEO

Watumiaji wengi wa simu za mkononi hata wale wanaotumia computer/laptop hushindwa kuona matokeo kutokana na jinsi yalivyopangiliwa.


Kama unatumia simu

1.Fungua link ya matokeo 

2.Angalia juu kulia kwenye simu yako,utaona vidoti vitatu 

3.Bonyeza penye vidoti utaona sehemu imeandikwa Find in page

4.Bonyeza palipoandikwa Find in page utaona  sehemu ya kuandikia...kisha andika jina la Shule unayotaka...kiulaini kabisa utaona unachokitaka.

 Kama unatumia Computer/Laptop


1.Fungua link ya matokeo 



2. Shikilia palipoandikwa CTRL na F



3.Utaona kibox ambapo utaandika jina la shule unayotaka