Rais Magufuli aguswa na Vifo vya watu 19 Mbeya - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Feb 2019

Rais Magufuli aguswa na Vifo vya watu 19 Mbeya

Rais Magufuli aguswa na Vifo vya watu 19 Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza jamaa zao katika ajali ya barabarani iliyotokea katika Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe na kusababisha vifo vya watu 19.