Msanii wa bongo fleva nchini NANDY, amefunguka na kusema kuwa Mkurugenzi wa Clouds media , Ruge mutahaba amekuwa aki-play party kubwa sana katika maisha yake kiasi kwamba hata ugonjwa na magumu anayoyapitai sasa hivi yamekuwa yakimuumiza sana.
Nandy ameongea hayo alipokuwa akihojiwa na Clouds Media leo na kusema kuwa Ruge amekuwa ama bosi, kama kaka na kama baba kwake kwa sababu katika kazi zae za muziki bila Ruge basi hajui yeye mpaka sasa angekuwa wapi
Hata hivyo haya yote yanakuja bada ya nandy kugombana na kujibizana na msanii mwenzake Dudu baya ambae aliamua kusema kuwa kama Ruge ni mgonjwa na anahitaji msaada hakuna haja ya kumsaidia kwa sababu alishadhulumu wasanii wengi sana.
Amekuwa akiplay party kubwa sana katika maisha yangu sio kimuziki tu , lakini hata katika maisha.tukiangalia hapa nilipo sababu ni yeye, ukiacha nafasi ya wazazi wangu nafasi inayofuata ni yeye, kwangu yeye ni kama bosi, kaka na kama baba.
Akiongea huku analia, Nandy anasema kuwa mara nyingi amekuwa akikwama na anawaza kabisa kuwa tatizo kama hili angekuwepo Bosi Ruge angeweza kulitauta lakini anaona kabisa kuna kitu kinapotea.