Polisi nchini Uganda wazua gumzo baada ya kuwapekua watu hasa wanawake.. Soma kwa undani hapa...
Hii ni katika hali ya kuimarisha usalama wakati wananchi hao walipokuwa wanaingia uwanja wa taifa kuangalia mpira nchini Uganda ambapo askari hao kama wanavyoonekana walikuwa wanakagua mabomu..