Msichana Anayempenda Diamond Platnumz Aja Tena Na Mpya Leo ..Adai Zari ni Mzee na Ajiamini pia ni Gogo Kitandani.... - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Jul 2015

Msichana Anayempenda Diamond Platnumz Aja Tena Na Mpya Leo ..Adai Zari ni Mzee na Ajiamini pia ni Gogo Kitandani....

Msichana anayejiita Baby ake huku instagram anazidi rusha hisia zake kwa Diamond Platnumz..Sasa leo amekuja na mpya na kusema haya hapa chini kuhusu Zari ambae ndio mchumba wa Diamond Kwa sasa:

Nimeaminii kwelii uyu mwanamkee ni mzeee ajiamini.... etii kaona nimetangaza nia ya u Mrs Diamond kani block.... we demu ujiaminii live ni Rambo nini?... sasa ata ukiniblock bwanakoo ntampata tuu... namimi ntapikiwa na kubebewa mapochi... khaa kizuri kula na wenzio we kwanza sio mtz iweje ujimilikishe..... embu jiangalie unifikii ata nusuu uwoo weupe tuu.... kwanza mademu weupe sio ata watamu.... au waringia miguu... kwa mange alisema ni ugojwa.... au iyoo mimbaa..... sasa kama umembebea D mimba mie ntampa nyumaa tuone atamchagua nani.. unifii we we.... mie black beauty mi hasilia siweki mokope na situmii 360 siweki miywele.... bandia wala mikope kama wewe.... kwanza diamond upenda vitu asili.... mie mwepesi kitanda sioo wewe gogoo

Sijali mabaya mnayoyaonga kwangu Hata kama yatakuwa machungu na mazito kiasi gani,kumpenda mtu sio dhambi na wala sio kosa la jinai ila tu najua nachukiwa sababu nampenda mtu ambaye anapendwa na wengi sababu na jua miongoni kwa watu wanaonichukia na kunktusi kwa sababu ya D ndo hao hao ambao nafsi zao zinawauma na Kukereka pale ninapoeleza hisia zangu ila mimi hayo yote hayanitishi sababu haja ya moyo wangu naijua,na nyie mnaosema mimi natafuta followers kazaneni kusema lakini hakuna niliyemfata nikamwambia njoo kwangu ni kwa hiari zenu na bado mkiamua mnayo nafasi ya kuniufollow ili nisizidi kuwakera,sitaacha kumpenda D nampenda nampenda nampenda Hata kama sitakuwa nae ila kitendo tu cha yeye kujua kama nampenda basi kwangu ni faraja na inatosha,mchana mwema kwenu