Mwigizaji Riyama Ally Alazwa..Aombe Mwenye Dawa ya Gonjwa Lake Linalomsumbua Ajitokeza na Kumtibu - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Jul 2015

Mwigizaji Riyama Ally Alazwa..Aombe Mwenye Dawa ya Gonjwa Lake Linalomsumbua Ajitokeza na Kumtibu

Alhamdulilah sijambo kiasi na mshukuru MUNGU NINA MALARIA WADUDU WAWILI na tumbo la chango chamoto nimekiona kwa muda mfupi tu waungwana wangu mwenye dawa nzuri ya tumbo la chango tusaidiane dah nimebebwa wallah nguvu zote kwisha asante sana kwa familia yangu na kwa mume Wangu mtarajiwa @leomysteriotz pia shukran kwa Mikumihospital Mungu awajazekheri ishalah Amin duwa zenu vipenzi vyangu

Riyama Ally on instagram