Kauli Ngumu Alisozisema Mh Sumaye Bila Kuogopa CCM Alipotangaza Rasmi Kujiunga na Ukawa - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Aug 2015

Kauli Ngumu Alisozisema Mh Sumaye Bila Kuogopa CCM Alipotangaza Rasmi Kujiunga na Ukawa



  • ‪ Hakuna mtu ambaye anaweza kufunga nadhiri na chama cha siasa"
  • Sina tatizo na mgombea wa CCM, nina amini hakuhonga na anachapa kazi,japokuwa ana mapungufu mengi katika nafasi hiyo"
  • Mwenyekiti alikuja na majina yake mfukoni, na yalikuwa yanafahamika,na mimi niliyafahamu"
  • Tatizo la rushwa katika chama cha mapinduzi wakati wa uchaguzi,limezidi"
  • Fedha nyingi zimetumika kwenye michakato ya urais, ubunge na udiwani"
  • Watoa rushwa wengi wametangazwa ndio wagombea wa ccm"
  • Maisha ya kuona hamna maisha nje ya ccm yamepitwa na wakati"
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI