Upaja Wangu Ndio Silaha Yangu, Nikivaa Nguo Ndefu Sijiamini Kabisa Nakosa Confidence - MULO ENTERTAINER

Latest

5 Aug 2015

Upaja Wangu Ndio Silaha Yangu, Nikivaa Nguo Ndefu Sijiamini Kabisa Nakosa Confidence

Admin
Nimeona Nikuandikie e-mail Udaku Special Watu Wanipe Ushauri , Mimi ni Msichana Bado Mbichi Sana ila Tatizo langu ni Mavazi yaani Sijui inakuwaje kila nikitoka out ama Kwenda kazini nikivaa nguo ndefu sijiamini hata kidogo nakosa amani na hata furaha , ila siku nikiwa nimevaa nguo fupi basi najiamini si mchezo naweza kumface mtu yoyote , alafu napenda vile Kila mtu anavyoniangalia nikitembea with my High Heels..

Je Nitakuwa nimeathirika kisaikologia kimavazi ama ni Kawaida hata wadada wengine inawakuta hivyo?