Taswira ;Magufuli CUP Yawa Gumzo la JIJI Dar...Hapa Kazi Tuu Ndio Mpango Mzima - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Oct 2015

Taswira ;Magufuli CUP Yawa Gumzo la JIJI Dar...Hapa Kazi Tuu Ndio Mpango Mzima

Vijana wameamua kuonesha support yao kwa Mgombea Urais Kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuanzisha MAGUFULI CUP ambayo imekuwa gumzo mtaani.