Klabu ya KRC Genk anayocheza nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta inatajwa kuwa miongoni mwa vilabu tajiri ndani ya Ligi Kuu Ubelgiji, ila kwa mujibu wa www.xpats.com, wachezaji wengi wao Ubelgiji hulipwa kati ya euro 25000 hadi 50000 kwa mwezi.
EURO elfu ishirini na tano ni zaidi ya milioni sitini za Kitanzania kwa sasa wakati Euro elfu 50 ni zaidi ya milioni mia moja ishirini za Kitanzania.
Hivyo Samatta Mshahara wake unaanzia Euro 25000 na kuendelea..