Makanisa Ya Pentekoste Jimbo L a Vunjo, Wilaya Ya Moshi Waanza Kumuombea Rais Magufuli. Sababu Kumbwa Hii Hapa...... - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Mar 2016

Makanisa Ya Pentekoste Jimbo L a Vunjo, Wilaya Ya Moshi Waanza Kumuombea Rais Magufuli. Sababu Kumbwa Hii Hapa......

Umoja wa Makanisa ya Pentekoste ya Jimbo la Vunjo, Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro umezindua rasmi ibada za maombi kwa mwaka mzima kumuombea afya njema na maisha marefu Rais Dakta.JOHN POMBE MAGUFULI kutokana na kazi ngumu ya kuliongoza taifa huku akihatarisha maisha yake.
RadioOneStereo's photo.