VIDEO: SEHEMU YA SHOW YA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI ILIYOJAA MPAKA 500 WAKAKOSA NAFASI YA KUINGIA - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Mar 2016

VIDEO: SEHEMU YA SHOW YA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI ILIYOJAA MPAKA 500 WAKAKOSA NAFASI YA KUINGIA


Promota wa show hii DMK Global kwa kushirikiana na Break Point entertainment,Safari entertainment na J&P entertainment amesema kwenye maisha yake ya kuandaa show kama hizi nchini Marekani, hakuna msanii wa Afrika amewahi kuivunja rekodi aliyoiweka Diamond kwenye show ndani ya mji wa Las Vegas…. unaweza kutazama hii video hapa chini kuona sehemu tu ya show yenyewe.