Mbowe: Alichokisema Lissu Kuhusu Dikteta Uchwara ni Kauli ya CHADEMA - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Jul 2016

Mbowe: Alichokisema Lissu Kuhusu Dikteta Uchwara ni Kauli ya CHADEMA



Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe mara baada ya Wakili msomi wa CHADEMA Tundu Lissu kupata dhamana. (amezungumza na wandishi wa Habari)

Freeman Mbowe amesema kauli hiyo niyawapenda demokrasia wote Tanzania na nikauli ya CHADEMA kwa hiyo chama kitakua kila hatua kwenye kesi hiyo.....