Mwagizaji Jack Wolper Atoa Sababu zilizomfanya Kuisaliti Chadema na Kurudi CCM - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Aug 2016

Mwagizaji Jack Wolper Atoa Sababu zilizomfanya Kuisaliti Chadema na Kurudi CCM

"Nimefanya haya baada ya kuona kile nilichokuwa nakitaka kwenye nchi yangu Rais Magufuli anakifanya, kwanini niichukie CCM? naipenda CCM na CCM ndio nyumbani." – Jackline Wolper

Toa maoni yako