Mwaka 2016 umekua ni mwaka wa neema kwa wanamuziki wote duniani kufuati kazi kubwa wanazoendelea kuachia kila kukicha.
Huyu hapa Jay Martins kutoka Nigeria na Ngoma yake ya kwanza kabisa kwa mwaka huu 2016 ambayo imepewa jina "Ikwusigo"
ENJOY NAYO HAPA: