Tuzo za Soundcity MVP Kwa mwaka huu hapa wa 2016 zimetolewa usiku wa jana jijini Lagos nchini Nigeria huku Yemi Alade, Casper Nyovest, Dj Maphorisa na wasanii kibao wakiwafuatia Wizkid na Tekno ambao wameongoza kwa kutoka na Tuzo nyingi kuliko wanamuziki wengine.
Zaidi Ya Vipengele kumi vilitajwa kuwania tuzo hizo huku Tanzania iliwakilishwa na Diamond Platnumz,Vanessa Mdee na Alikiba liefanikiwa kuchukua tuzo ya Video Bora kupitia ngoma ya Aje.
Wasanii WaliokuaWakiwania Tuzo Hizo Na Vipengele Vyao Ni Kama Ifuatavyo:
MSANII BORA WA KIUME:
Diamond Platinumz (TANZANIA)
Emtee (SOUTH AFRICA)
Wizkid (NIGERIA) – Mshindi
Falz (NIGERIA)
Olamide (NIGERIA)
Patoranking (NIGERIA)
Phyno (NIGERIA)
MSANII BORA WA KIKE:
Tiwa Savage (NIGERIA)
Victoria Kimani (KENYA)
Yemi Alade (NIGERIA) – Mshindi
Vanessa Mdee (TANZANIA)
Cynthia Morgan (NIGERIA)
Ms Vee (GHANA)
Simi (NIGERIA)
MSANII BORA WA HIP HOP:
Cassper Nyovest (SOUTH AFRICA) – Mshindi
Olamide (NIGERIA)
CDQ (NIGERIA)
Emtee (SOUTH AFRICA)
El (GHANA)
Riky Rick (SOUTH AFRICA)
Stanley Enow (CAMEROON)
Phyno (NIGERIA)
MWANAMUZIKI BORA WA POP:
Wizkid (NIGERIA)
Kiss Daniel (NIGERIA) – Mshindi
Tekno (NIGERIA)
Yemi Alade (NIGERIA)
Adekunle Gold (NIGERIA)
Timaya (NIGERIA)
Tiwa Savage (NIGERIA)
MSANII WA KISASA:
PSquare (NIGERIA)
Wizkid (NIGERIA)
AKA (SOUTH AFRICA)
Tiwa Savage (NIGERIA)
Davido (NIGERIA)
Cassper Nyovest (SOUTH AFRICA)
Tekno (NIGERIA) – Mshindi
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA:
Mr Eazi Ft Efya – Skintight (NIGERIA / GHANA)
Patoranking Ft Sarkodie – No Kissing (NIGERIA / GHANA)
Eddy Kenzo Ft Niniola – Mbilo Mbilo Remix (UGANDA / NIGERIA)
Emtee Ft Wizkid & AKA – Roll Up (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ Maphorisa Ft Wizkid & DJ Buckz – Soweto Baby (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
Phyno Ft Olamide – Fada Fada (NIGERIA)
Olamide Ft Wande Coal – Who You Epp (NIGERIA) –Mshindi
Harrysong Ft Olamide, KCee – Raggae Blues (NIGERIA)
Masterkraft Ft Flavour & Sarkodie – Finally (NIGERIA / GHANA)
VIDEO YA MWAKA:
Pana – Tekno Directed by Clarence Peters (NIGERIA)
Aje – Alikiba, Directed by Meji (Tanzania) – Mshindi
Babanla – Wizkid, Directed by Sesan (NIGERIA)
One time – AKA, Directed by AKA & Alessio (SOUTH AFRICA)
Sin City – Kiss Daniel, Directed by H2G Films (NIGERIA)
Emergency – D’Banj, Directed by Unlimited L.A (NIGERIA)
Made for you – Banky W, Directed by Banky W (NIGERIA)
Gbagbe Oshi – Davido, Directed by Slash (NIGERIA)
Pray for me – Darey, Directed by MEX (NIGERIA)
KUNDI BORA:
Sauti Sol (KENYA) – Mshindi
Mafikizolo (SOUTH AFRICA)
Micasa (SOUTH AFRICA)
Navy Kenzo (TANZANIA)
R2Bees (GHANA)
Toofan (TOGO)
PSquare (NIGERIA)
VVIP (GHANA)
WIMBO WA MWAKA:
Kwesta ft. Cassper Nyovest – Ngud (SOUTH AFRICA)
Mr Eazi – Hol Up (NIGERIA)
Patoranking ft Sakordie – No Kissing (NIGERIA)
Wizkid – Babanla (NIGERIA)
Tekno – Pana (NIGERIA) – Mshindi
Emtee ft Wizkid – Roll Up (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ Maphorisa ft Wizkid & DJ Buckz – Soweto Baby (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
Olamide ft Wande Coal – Who You Epp (NIGERIA)
D’banj – Emergency (NIGERIA)
MSANII MPYA(CHIPUKIZI)
Koker (NIGERIA)
YCee (NIGERIA)
Mr Eazi (NIGERIA) – Mshindi
Emtee (SOUTH AFRICA)
Simi (NIGERIA)
Niniola (NIGERIA)
Tekno (NIGERIA)
Nasty C (SOUTH AFRICA)
CHAGUO LA WATAZAMAJI:
Mr Soldier – Falz ft. Simi (NIGERIA) – Mshindi
Babanla – Wizkid (NIGERIA)
Osinachi – Humblesmith ft. Davido (NIGERIA)
Pana – Tekno (NIGERIA)
Hollup – Mr Eazi (NIGERIA)
Pick Up – Adekunle Gold (NIGERIA)
Mama – Kiss Daniel
CHAGUO LA WASIKILIZAJI:
Lagos to Kampala – Runtown ft. Wizkid (NIGERIA)
Babanla – Wizkid (NIGERIA)
Omo Alhaji – YCee (NIGERIA)
Pana – Tekno (NIGERIA) – Mshindi
Who You Epp – Olamide ft Wande Coal (NIGERIA)
Oluwa ni – Reekado Banks (NIGERIA)
Pick Up – Adekunle Gold (NIGERIA)
Skintight – Mr Eazi ft Efya (NIGERIA/GHANA)
MWANAMUZIKI BORA WA AFRIKA:
Wizkid (NIGERIA) – Mshindi
Vanessa Mdee (TANZANIA)
Diamond Platinumz (TANZANIA)
Sarkodie (GHANA)
Yemi Alade (NIGERIA)
Olamide (NIGERIA)
MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI:
DJ Maphorisa (SOUTH AFRICA) – Mshindi
Gospel on the Beat (NIGERIA)
Masterkraft (NIGERIA)
Young John (NIGERIA)
Legendury Beats (NIGERIA)
Sess the problem kid (NIGERIA)