Manji Kachukuliwa na Gari la Wagonjwa (Ambulance) Kutoka Kituo cha Polisi Kati....!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Feb 2017

Manji Kachukuliwa na Gari la Wagonjwa (Ambulance) Kutoka Kituo cha Polisi Kati....!!!


Mfanyabiashara Yusuph Manji amekimbizwa kutoka kituo cha polisi na gari la wagonjwa alikoenda kwa mahojiano tangu Alhamisi. Gari lililombeba limeonekana kuishia kituo cha dharura kwa wagonjwa cha hospitali ya Taifa Muhimbili.