Ndoa Mpya ya Nawal ni Yadaiwa Kuwa ni FAKE? Mwenyewe Kayasema Haya… - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Aug 2017

Ndoa Mpya ya Nawal ni Yadaiwa Kuwa ni FAKE? Mwenyewe Kayasema Haya…

U heard ya XXL ya Clouds FM leo August 15, 2017 inamuhusu mke wa zamani mwimbaji wa Bongofleva Nuh Mziwanda, Nawal aliyefunga ndoa na mwanaume mwengine hivi karibuni na kuwa gumzo…sasa new stori ni kwamba ndoa inadaiwa kuzua utata.

Inadaiwa kuwa ndoa mpya ya Nawal sio halisi, ni FAKE na anadaiwa kufanya hivyo ili kumuumiza roho Nuh Mziwanda.

Soudy Brown amezungumza na Nawal

 ”Haina haja ya kuapia mimi najua mwenyewe kwamba nameolewa. Mume wangu nilikuwa naye sasa hivi kaenda kazini mimi nikarudi nyumbani siwezi kupika mwanangu anaumwa, pia tulijisikia kwenda kula sehemu nyingine.” – Nawal