Msanii wa Bongo Fleva Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekabidhiwa ndinga mpya ya kifahari na uongozi wake wa WCB.
Muimbaji huyo mapema leo alipost video fupi akionyesha gari hiyo ya kisasa aina ya Toyota Land Cruiser.
“Management yangu imenipatia Toy hii ndogo kwa ajili ya mikutano yangu ya kampuni,” alindika Diamond kupitia Instagram