New
Chama cha waandishi wa habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wameandaa majadaliano na wadau kujadili mbinu na mikakati thabiti ya ili kutokomeza vitendo vya ukatili katika hiyo,na majadiliano hayo yamefanyika katika shule ya sekondari Minaki.