“Mtu anakufa akifanya mapenzi, kwanini hawachomi kitanda?”-Kangi Lugola - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Sept 2018

“Mtu anakufa akifanya mapenzi, kwanini hawachomi kitanda?”-Kangi Lugola

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola wakati akijibu maswali ya baadhi ya wabunge waliohoji Serikali inachukua hatua gani kwa kujitokeza mara kwa mara baadhi ya raia kufa wakiwa wameshikiliwa mahabusu na Polisi.