Rosa Ree Afunguka Kutokutumia Kilevi Chochote "Niliacha Pombe" - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Sept 2018

Rosa Ree Afunguka Kutokutumia Kilevi Chochote "Niliacha Pombe"


Msanii wa Rap Rosa Ree akiwa Clouds FM Kipindi cha XXL amefunguka kuwa yeye hatumiii kilevi chochote kwa sasa Japo Kipindi cha Nyuma alikuwa akinywa Pombe ila alipigana hadi akaweza Kuacha

‘’Unajua pombe ukiipa nafasi kubwa ya kukutawala katika maisha yako hutaweza kuiacha, ila wewe ukiitawala pombe utaiacha ndio maana nimeweza’’ Ameyasema hayo Rap Goddess Rosa Ree baada ya Kufanikiwa kuacha Pombe.