Waganga Waliomponza Mobetto kwa Diamond Waingia Kenya kwa Kasi - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Sept 2018

Waganga Waliomponza Mobetto kwa Diamond Waingia Kenya kwa Kasi

Waganga waliomponza Mobetto kwa Diamond waingia Kenya kwa kasi
Muimbaji kutoka nchini humo, @violakaruri ambaye kwa sasa anajipanga Alhamisi hii kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Leo’, amesema ukipita katika mitaa mingi ya Kenya utakutana na mabango ya waganga wa jadi kuhusu mapenzi na utajiri na utambulisho wao mkubwa wanaandika wanatoka Tanzania.


Wiki moja iliyopita mzazi mwenza wa Diamond, Hamisa Mobetto alijikuta matatani baada ya kunaswa sauti zake akiongea na mganga wa jadi ishu ya kutaka kumtuliza baba watoto wake huyo kupitia mbinu za kishirikina.