Irene Uwoya Awatolea Uvivu Wanaomsema Ana Wanaume wengi na Nymba Hana - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Jan 2019

Irene Uwoya Awatolea Uvivu Wanaomsema Ana Wanaume wengi na Nymba Hana

Irene Uwwoya Awatolea Povu Wanaomsema Ana Wanaume wengi na Nyunba Hana
Muigizaji Irene Uwoya ameamua kuyajibu yale yote ambayo yamekuwa yakiendelea kwenye Kitandao ya kijamii ambapo amekuwa akihusishwa kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na Wanaume tofauti tofauti hii ni baada ya kuonekana akila bata maeneo mbalimbali.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Irene Uwoya ameandika ujumbe kujibu tuhuma hizo ikiwa na kuwaomba watu wafanye mambo yanayowahusu lakini hadi sasa Irene pamoja na Dogo Janja hawajaweka wazi kuhusu kuachana kwao ingawa wamekuwa wakirushiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii.

Irene Uwoya >>>“Mhhh wa bongo jamani loooh mara natembea na John, mara Mussa mara Jacob mara nahis jirani mara kasuku mara urithi mara mafao ya baba yake mara hana lolote dooohhh! kweli kazi mnayo ndio maana hamna kazi zakufanya jua likisogea na nyie mnasogea daaah poleni sana kiufupi tu mnajisumbua fanyeni maisha yenu kama mkishindwa njoooni insta mniview na kunilike pia kama huna bando semaaa tuuu nagawaga voucher na tena leo pia nitagawa nimekumbuka”

“Kazi ya mimi kuwa na nyumba au maendeleo niacheni mimi acheni kujipa majukumu yasiyowahusu.Haya bby ndio nakuja hivi “