Diamond plutnumz akataa milioni Tano Za Mh E.Lowassa - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2015

Diamond plutnumz akataa milioni Tano Za Mh E.Lowassa

Duuh Hayo sio Maneno yangu Jamani , Gazeti la visa limeandika katika ukurasa wa mbele maneno hayo kama inavyoonyesha

Limeandika "Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na atakuwa Maalum 2015,
Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"