Diamond Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye sio mahiri wa studio na jukwaani peke yake, lakini ana kitu kingine ambacho huenda kikawa moja ya sababu za kuwapagawisha zaidi wasichana anaokuwa nao kwenye mahusiano.
Hivi karibuni amepost picha akiwa jikoni anapika huko Bangalore, India aliko sasa. Wasichana wengi hupenda sana kuona mwanaume anafanya kazi ambazo baadhi ya wanaume huona ni za kike.
10 Feb 2015
New
Video: Hii ni moja ya sababu inayomsababisha Diamond awapagawishe zaidi ‘ma-girlfriends’ zake?
mulo
Newer Article
Download na sikiliza Ruby ft Samir- Fedheha
Older Article
Baba Mzazi Amuunguza Mdomo Mwanae kisa Kadokoa Maharage Jikoni
Labels:
Bongo flavour,
Entertainment,
Habari,
Hot gossips,
Hot plate,
Mapenzi