Baada ya Shilole Kutamka wazi wazi kuwa hamtaki tena Nuhu Mziwanda kimapenzi na haoni faida yoyote ya kuwa na Nuh Mziwanda, Nuhu Amesikitika Sana na Kauli hiyo kiasi kwamba kila akiangalia Tattoo ya Shilole Mwilini mwaka anaumia roho lakini amesema hawezi kuifuta mpaka atakapopata mbadala wa Shilole
“Ni kweli ila hii tatuu nitaifuta nitakapompata wa kuziba pengo la Shilole.” Nuhu Mziwanda