WIKI ya Baraka Kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete..Baada ya Kupewa Ukuu wa Chuo...Hili ni Jingine Zuri Kwake - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2016

WIKI ya Baraka Kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete..Baada ya Kupewa Ukuu wa Chuo...Hili ni Jingine Zuri Kwake

Baada ya Kupewa Ukuu wa Chuo cha UDSM na Rais Magufuli Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Shahada ya heshima ya udaktari wa falsafa ya mahusiano ya kimataifa jana Jijini Dar es Salaam katika mahafaliya 30 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania.

Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amesema amefarijika sana kutunukiwa Shahada hiyo ya heshima itolewayo na Chuo kikuu Huria Tanzania kwa watu ambao wametoa mchango katika maendeleo katika jamii kupitia nafasi zao kiutendaji.