Ukimya wa Reginal Mengi Serikali ya Rais Magufuli Wazua Maswali....Je Kaikubali ama Anaogopa....? - MULO ENTERTAINER

Latest

18 Mar 2016

Ukimya wa Reginal Mengi Serikali ya Rais Magufuli Wazua Maswali....Je Kaikubali ama Anaogopa....?

Mwenyekiti wa makampuni ya IPP huwa mwepesi sana kutoa duku duku ya msitakabali wa nchi, nakumbuka enzi zile za mzee wa msoga alikuwa akimukosoa kila siku kwa utendeji wa serikali ile, lakini inakaribia miezi minne mkereketwa huyu wa wanyonge amekaa kimya kiasi kwamba wafuatiliaji wa maswala ya siasa tumeingiwa na hofu ama Mengi anaogopa serikali hii au ameikubali serikali hii.

Watanzania tulizoea ukosoaji wake, yote aliyekuwa anamkosoa msoga sasa yanaonekana dhahiri, rais aliyepita kwa kweli bado watanzania hatujawa ilikuwepo kwa ajili ya nani, maana hii ni noma, wizi kila kona, ufisadi kila kona, ukwepaji kodi kila kona, mzee amekaa tu, sijui huko msoga anajikia vipi maana kashfa moja baada ya nyingine, mpaka naona aibu. nchi ilipotea khaa.

*****SEMA MAWAZO YAKO, MENGI KUKAA KIMYA, ANAOGOPA AU AMEKUBULI SERIKALI HII?