Breaking News: Zanzibar Kimenuka...Bomu Larushwa na Kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi Hamdani Omar Makame - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Mar 2016

Breaking News: Zanzibar Kimenuka...Bomu Larushwa na Kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi Hamdani Omar Makame

Habari kutoka visiwani Zanzibar zinaeleza kwamba, nyumba kadhaa ikiwemo  ya Hamdani Omar Makame ambaye  ni Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar  zimelipuliwa kwa mabomu.

Habari hizo zinaeleza kwamba, Jeshi la Polisi linaendesha kamata kamata ya watu waliohusika kwenye tukio hilo  ambapo  mpaka  sasa  watu 31 wametiwa  mbaroni.

Tukio hilo limezidisha hali ya wasiwasi visiwani humo ambapo ni siku 5  tu  zimesalia  kabla  ya  uchaguzi  wa  marudio  kufanyika