Pichaz: Zari The Boss Lady Afanya ‘Baby Shower’ - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Nov 2016

Pichaz: Zari The Boss Lady Afanya ‘Baby Shower’

Siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla.

Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa Uganda amefanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.