Akiwa na Umri wa Miaka 50, Janeth Jackson Amepata Mtoto wa Kwanza - MULO ENTERTAINER

Latest

5 Jan 2017

Akiwa na Umri wa Miaka 50, Janeth Jackson Amepata Mtoto wa Kwanza

Janeth Jackson (50)  dada wa marehemu Michael Jackson ni mwanamziki ambaye amekuwa na mafanikio makubwa  kupitia mziki wake, heshima ya mziki wake ikitambulika duniani kote. Lakini jambo moja ambalo amekuwa akitamani maishani mwake ni kupata mtoto. Imeripotiwa kuwa Janeth na mumewe Wissam Al Mana wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume na kumuita Eissa Al Mana