Wakati Yanga ikijiandaa kucheza na Stand United mechi ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, klabu hiyo imefafanua utata wao kupangiwa kucheza mechi kumi na moja mfululizo kwenye uwanja huo wa Taifa.
Ofisa Habari Msaidizi wa Yanga, Godfrey Anderson amesema pia wachezaji wote wamesharejea kwa ajili ya mazoezi na majeruhi wote tayari wameshapona akiwemo Kelvin Yondani ambaye ameanza leo mazoezi.