Darasa Afunguka Sababu ya Ukimya Wake - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Jan 2019

Darasa Afunguka Sababu ya Ukimya Wake

Darasa Afunguka Sababu ya Ukimya Wake
Baada ya ukimya wa zaidi ya mwaka mmoja, hatimaye msanii Darassa amefunguka kuhusu hilo.

Akizungumza na XXL ya Clouds FM amesema ukimya wake hautokani na kujiogopa mwenyewe kama ilivyokuwa ikizungumzwa watu.

"siwezi nikasema hiyo ndiyo sababu ambayo ilinifanya nikae kimya maana siwezi nikakosa
usingizi sababu ya Darassa juu ya Darassa," amesema Darassa.