Mwanaume Mwenye Hips Kubwa na za Kuvutia Atupia Picha Nyingine Mtandaoni - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Jan 2015

Mwanaume Mwenye Hips Kubwa na za Kuvutia Atupia Picha Nyingine Mtandaoni

Uwezi Kuamini Kama Huyu ni Mwanaume wa Shoka Kabisa na sio Shoga ila ana Hips Balaa , Tena hips ambazo Wanawake wengi huzitamani mpaka kwenda kuzitafuta kwa Operation na Kumeza madawa ya kichina...Anaitwa Micah ni Kijana Mwanamuziki wa Huko Marekani ..Leo ametupia picha nyingine kwenye account yake ya Instagram kama anavyoonekana hapo juuu kiasi cha Midume mingine kucomment na kuacha number zao za simu ..