Rais Magufuli: IPTL ni Mkataba wa Ovyo, Serikali Haitaendelea Nao..... - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Mar 2016

Rais Magufuli: IPTL ni Mkataba wa Ovyo, Serikali Haitaendelea Nao.....

Rais Magufuli amesema kuwa IPTL ni mkataba wa hovyo na Serikali yake hautaendelea nao.

Rais John Magufuli ameyasema hayo wakati akizindua ujenzi wa kituo cha kufua umeme wa Megawati 240 cha Kinyerezi II Dar leo.