Wasanii wa Bongo Movie Wampongeza Paul Makonda kwa Kuteuliwa kuwa RC Dar - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Mar 2016

Wasanii wa Bongo Movie Wampongeza Paul Makonda kwa Kuteuliwa kuwa RC Dar

Ma-Star wa Bongo Movia wamemuangushia party ya nguvu Mkuu wa Mkoa mpya wa Dsm ndugu Paul Makonda baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dsm.

Party hiyo ilijumuisha mastaa kibao wa mjini wakiongozwa na STEVE NYERERE, RICHI RICHIE na JB